Uko hapa: NyumbaniMichezoMpira wa Miguu2022 01 14Article 585784

Soccer News of Friday, 14 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Usipime Mapokezi ya Simba Dar, wafunga mji

Simba imewasili Jijini Dar Simba imewasili Jijini Dar

Kikosi cha Simba kimewasili Jijini Dar Aalsiri hii kikitokea visiwani Zanzibar walipokwenda kushiriki Michuano ya Mapinduzi Cup.

Aimba wamebeba ubingwa huo baada ya kuichapa Azam FC katika mchezo wa Fainali kwa ushindi wa goli 1-0, lililowekwa kimiani na Meddie Kagere.

Hiki ni Kikombe cha Kwanza kwa mwalimu wa Kikosi hicho, Pablo Franco Martin ambae amejiunga na Wekundu hao miezi michache iliyopita.

Tazama Picha zaidi hapa chini kuona mapokezi ya Mabingwa hao wa Kombe la Mapinduzi.