Uko hapa: NyumbaniMichezoMpira wa Miguu2021 09 12Article 557008

Soccer News of Sunday, 12 September 2021

Chanzo: globalpublishers.co.tz

Video: Marehemu Hans Pope Afanyiwa Dua Dar

Mashabiki wa Simba waliojumuika katika dua play videoMashabiki wa Simba waliojumuika katika dua

Mashaiki wa klabu ya Simba wamefurika katika Uwanja wa Mo Simba Arena kwa ajili ya kushiriki dua maalum ya kumuombea aliyekuwa Mjumbe wa Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji TFF na Kiongozi wa Simba Sc, ndugu, Zacharia Hans Pope.

Hans Poppe atakumbukwa kama miongoni mwa wadau wakubwa wa michezo katika nchi hii na ambae alisimama na Simba kwa kila hali.