Uko hapa: NyumbaniMichezoMpira wa Miguu2021 10 14Article 563137

Soccer News of Thursday, 14 October 2021

Chanzo: TanzaniaWeb

Wafahamu kiundani wapinzani wa Simba Kimataifa

Kikosi cha Jwaneng Galaxy play videoKikosi cha Jwaneng Galaxy

Simba SC itacheza siku ya Jumapili Oktoba 17, dhidi ya Klabu ya Jwaneng Galaxy kutoka nchini Botswana.

mechi hiyo ni katika kusaka nafasi ya kufuzu kwa hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika na Simba ambao ndio wawakilishi pekee wa Tanzania katika LIgi ya Mabingwa Afrika wataanzia ugenini.

Mchezo huo utapigwa katika dimba la Galaxy Stadium na watarudiana Oktoba 24, kwa Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Sasa wafahamu zaidi hawa Jwaneng Galaxy.