Uko hapa: NyumbaniMichezoMpira wa Miguu2022 01 11Article 585019

Soccer News of Tuesday, 11 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Watalii wa Mapinduzi Cup wawasili Dar Kimya kimya

Kikosi cha Yanga kikiwasili Jijini Dar Kikosi cha Yanga kikiwasili Jijini Dar

Yanga wamewasili Jijini Dar mchana huu wakitokea visiwani Zanzibar ambako walikwenda kushiriki michuano ya Mapinduzi Cup.

Yanga wamevuliwa ubingwa huo na Azam FC siku ya Jumatatu Januari 10 kwa mikwaju ya penati.

Tazama hapa chini kikosi kilivyowasili Jijini Dar es Salaam.