Uko hapa: NyumbaniMichezoMpira wa MiguuTaifa Stars

Taifa Stars

Tanzania Football Logo Png

Tanzania
Shirt badge/Association crest
Nickname(s) Taifa Stars
Shirika Tanzania Football Federation
Shirikisho CAF (Africa)
Kocha mkuu Kim Poulsen
Kapteni Mbwana Samatta
Most caps Mrisho Ngasa (100)
Top scorer Mrisho Ngasa (25)
Home stadium National Stadium
msimbo ya FIFA TAN
cheo ya FIFA Kigezo:FIFA World Rankings
Highest FIFA ranking 65 (February 1995)
Lowest FIFA ranking 175 (October–November 2005)
Elo ranking Kigezo:World Football Elo Ratings
Highest Elo ranking 75 (11 November 1979)
Lowest Elo ranking 168 (19 December 2004)
 
Home colours
Away colours
First international
 Uganda 7–0 Tanganyika Tanganyika (nchi)
(Uganda; 1945)
Biggest win
 Tanzania 7–0 Somalia 
(Jinja, Uganda; December 1, 1995)
 Tanzania 7–0 Somalia 
(Kampala, Uganda; December 1, 2012)
Biggest defeat
Kigezo:Flagu 0–9 Kenya 
(Tanganyika; 1956)
Africa Cup of Nations
Appearances 2 (First in 1980)
Best result Group stage (1980 and 2019)

Timu ya taifa ya Tanzania chini ya chama cha soka cha Tanzania TFF (Tanzania Football Federation) inaiwakilisha Tanzania katika soka ya kimataifa.

Uwanja wa taifa wa Tanzania unafahamika kwa jina la Benjamin Mkapa National Stadium iliopo jijini Dar-es-Salaam na Kocha mkuu kwa sasa ni Etienne Ndayiragije mzaliwa wa Burundi.

Katika historia, Tanzania haijawahi kufuzu fainali za kombe la dunia. Kabla ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar, timu hiyo ilifahamika kama Timu ya taifa ya Tanganyika.

Kwa upande wa Zanzibar, inajulikana kama mwanachama wa kujitegemea wa CAF lakini haiwezi kushiriki katika mashindano ya Afrika (Africa Cup of Nations) wala mashindano ya kombe la dunia chini ya FIFA.

Historia

Mnamo Machi 24 2019, Tanzania ilifanikiwa kuwashinda Uganda ambao ndio wapinzani wao wakuu kutokea Afrika mashariki kwa jumla ya magoli 3-0, ushindi huo uliwapeleka katika fainali za AFCON (2019 Africa Cup of Nations) hii ikiwa ni kwara ya kwanza ndani ya miaka 39, hatua hiyo ilipelekea raisi wa Tanzania mhe. John Magufuli kuizawadia timu nzima viwanja kama hatua ya kuwatia morali Zaidi, fainali hizi zilifanyika nchini Misri.[onesha uthibitisho] Recently, Kwa sasa Tanzania imeamua kuwekeza katika timu ya taifa ili kusonga mbele Zaidi na Zaidi, katika hatua ya kufuzu fainali za AFCO, Tanzania ilifanikiwa kuifunga Burkina Faso mara mbili, katika mechi ya kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Cameroon, Tanzania ilishinda 1–0. Ushindi wao wa siku za karibuni ni dhidi ya timu ya taifa ya Afrika kusini kweny mashindano ya COSAFA ya 2017 katika hatua ya robo fainali lakini hawakuvuka hatua inayofuata babada ya kupoteza dhidi ya timu ya taifa ya Zambia kwa jumla ya magoli 2−4. Katika mtanange wa kutafuta mshindi wa tatu, Tanzania ilishinda mchezo huo kwa mikwaju ya penati 4-2 dhidi ya timu ya taifa ya Lesotho. Ushindi huo unakua ndio ushindi mkubwa Zaidi wa timu ya taifa ya Tanzania katika historia yake.

Mataji

CECAFA Cup :

Rekodi ya Ushindani

Rekodi ya kombe la dunia

FIFA World Cup record FIFA World Cup Qualification record
MwakaHatuaNafasiPldWD*LGFGAPldWDLGFGA
Uruguay 1930 to Mexiko 1970 Haikushiriki Haikushiriki
West Germany 1974 Haikufuzu 3 0 2 1 1 4
Argentina 1978 Ilijitoa Ilijitoa
Hispania 1982 Haikufuzu 4 1 1 2 7 6
Mexiko 1986 2 0 2 0 1 1
Italia 1990 Haikushiriki Haikushiriki
Marekani 1994 Ilijitoa hatua ya kufuzu Ilijitoa hatua ya kufuzu
Ufaransa 1998

 

 

 

Haikufuzu

2 0 1 1 1 2
South Korea Japani 2002 2 0 0 2 2 4
Ujerumani 2006 2 0 1 1 0 3
Afrika Kusini 2010 6 2 2 2 9 6
Brazil 2014 8 3 0 5 10 14
Urusi 2018 4 1 1 2 4 10
Qatar 2022 ya kuamuliwa ya kuamuliwa
Kanada Mexiko Marekani 2026 ya kuamuliwa ya kuamuliwa
Jumla 0/21      33710163550

 

Rekodi ya AFCON

Africa Cup of Nations
Appearances: 2
MwakaHatuaNafasiPldWDLGFGA
Sudan 1957 Haina ushirika wa CAF
Misri 1959
Ethiopia 1962
Ghana 1963
Tunisia 1965
Ethiopia 1968 ilijitoa hatua ya kufuzu
Sudan 1970 Haikuifuzu
Kamerun 1972
Misri 1974
Ethiopia 1976
Ghana 1978
Nigeria 1980 Hatua ya makundi 7th 3 0 1 2 3 6
Libya 1982 Ilijitoa
Côte d'Ivoire 1984 Haikufuzu
Misri 1986 ilijitoa hatua ya kufuzu
Moroko 1988 haikufuzu
Algeria 1990
Senegal 1992
Tunisia 1994 ilijitoa hatua ya kufuzu
Afrika Kusini 1996 haikufuzu
Burkina Faso 1998
Ghana Nigeria 2000
Mali 2002
Tunisia 2004 ilijitoa hatua ya kufuzu
Misri 2006 haikufuzu
Ghana 2008
Angola 2010
Gabon Guinea ya Ikweta 2012
Afrika Kusini 2013
Guinea ya Ikweta 2015
Gabon 2017
Misri 2019 Hatua ya makundi 24th 3 0 0 3 2 8
Kamerun 2021 ya kuamuliwa
Côte d'Ivoire 2023
Guinea 2025
JumlaHatua ya makundi2/326015514

Rekodi ya mataifa ya Afrika

African Nations Championship
Kushiriki: 1
MwakaHatuaNafasiPldWD*LGFGA
Côte d'Ivoire 2009 Group stage 5th 3 1 1 1 2 2
Sudan 2011 Did not qualify
Afrika Kusini 2014
Rwanda 2016
Moroko 2018
Kamerun 2020 ’’ya kuamuliwa’'
Algeria 2022
JumlaHatua ya makundi1/5311122

Michezo ya Afrika

Mpira wa miguu wa mashindano ya African Games imekua ikichezwa na walio na umri chini ya miaka 23 tangu mwaka 1991.
African Games Rekodi
MwakaMatokeoGPWDLGSGA
Jamhuri ya Kongo 1965 - 0 0 0 0 0 0
Nigeria 1973 - 0 0 0 0 0 0
Algeria 1978 - 0 0 0 0 0 0
Kenya 1987 - 0 0 0 0 0 0
1991–mpaka sasa See Tanzania national under-23 football team
Jumla4/4000000

Matokeo ya hivi karibuni na ratiba

      Ushindi       Suluhu       Kupoteza

2019

15 November 2019