Uko hapa: NyumbaniUkurasaWaliojiungawww.mwanaspoti.co.tz
Feisal Salum

JICHO LA MWEWE: Fei Toto ni yule yule tu, tulimkosea zamani

Ghafla tumemfanya Feisal Salum ‘Fei Toto’ kama staa mpya katika soka letu. Wakati mwingine soka letu linachekesha sana. Fei ni yule yule tu. Hajawahi kubadilika. Kipaji maridhawa kutoka Zanzibar. Upande ule huwa unatoa viungo wengi maridhawa......

Read More

Be your own Journalist by Reporting Contents from your Phone!

Share what’s on your mind with the TanzaniaWeb Reporter App