Uko hapa: NyumbaniUkurasaWaliojiungaMwanaspoti
Etop David Udoh

JICHO LA MWEWE: Ni ngumu wachezaji wa majaribio kutoboa Tanzania

Miongoni mwa vitu vigumu katika soka la hapa duniani ni pale mchezaji anapoamua kufunga safari kwenda katika nchi inayoitwa Tanzania, kufanya majaribio katika klabu kubwa mbili. Simba na Yanga. Ana nafasi ndogo ya kufuzu majaribio....

Read More

Be your own Journalist by Reporting Contents from your Phone!

Share what’s on your mind with the TanzaniaWeb Reporter App