Uko hapa: NyumbaniNchiPeopleBurudaniAli Saleh Kiba

Tanzania Famous People

Burudani

Ali Saleh Kiba

Alikiba

ALIKIBA
Date of Birth:
1986-11-26
Place of Birth:
Tanzania

Ali Saleh Kiba (King Kiba) (anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Ali Kiba; alizaliwa 1986) ni mwanamuziki wa Tanzania, mwimbaji na mtunzi wa nyimbo chini ya lebo ya Rockstar4000. Pia ni mwimbaji mwenye kipaji cha tofauti na wasanii wenzake.

Ni mtoto wa kwanza kuzaliwa katika familia ya watoto wawili, ambaye mdogo wake pia ni mwanamuziki wa Kitanzania.

Mwaka 2011, Ali Kiba alichaguliwa kama "msanii aliyeuza albam nyingi za muziki Afrika Mashariki" - Tanzania, Kenya na Uganda.

Tarehe 20 Mei 2016, kampuni ya kimataifa inayojishughulisha na muziki "Sony music Entertainment" ilitangaza kumsainisha mkataba wa kufanya kazi na Ali Kiba.

Tanzania Web