Uko hapa: NyumbaniNchiPeopleSiasaJohn Samuel Malecela

Watu Maarufu Tanzania

Siasa

John Samuel Malecela

Mfahamu John Malecela

John Malecela
Tarehe ya Kuzaliwa:
1934-04-19
Mahali pa Kuzaliwa:
Dodoma

John Samuel Malecela alizaliwa 19 April 1934 katika hospitali ya Mvumi jijini Dodoma.

Elimu

Elimu ya Sekondari - Shule ya Sekondari Minaki 1957-1958

Shahada ya Commerce - Chuo kikuu cha Bombay India 1958-1959

Uzamili - Chuo cha Cambridge 1961–1962

Shahada ya Uzamili -Chuo kikuu cha Texas Marekani 1977

Nyadhifa alizowahi kushika

Mwakilishi wa Ummoja wa mataifa Tanzania 1964-1968

Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia na Jumuiya ya Ummoja wa Afrika -1967

Waziri wa mambo ya njee - 1972-1973

Mawasiliano na Usafiri- 1973-1974

Madini na kilimo -1975-1975

Waziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki - 1975-1976

Mkuu wa Mkoa wa Iringa - 1980-1984

Mwanachama wa Jumuiya ya Madola- 1985

Balozi wa Tanzania nchini Ulaya 1989-90

waziri Mkuu wa tano na Makamu Rais wa sita Tanzania - 1990-1994

Makamu Mwenyekiti wa Chama Tawala , Chama Cha Mapinduzi CCM 1995 to 2007

Mbunge wa Mtera - 1990- 2010

Kupitia ufanyaji wake kazi kwenye wadhifa mbalimbali zilimjenga kuwa kiongozi mahiri kwa kuweza kukabiliana vizuri na majuku ya kujenga taifa la Tanzania. Lakini pia kufanya kwake kazi na Umoja wa Mataifa na Jumuiya ya Ummoja wa Afrika kulimfanya awe mwanadipomasia mzuri sana.

Naaliweza kufanya kazi vizuri kwenya nafasi yake ya Uwaziri wa mambo ya njee kwakua alipata maarifa na uwelewa mkubwa kwenye maswala yaki Diplomasia. John Malecela ameliweka alama kubwa kwenye safari ya kujenga taifa la Tanzania.

TanzaniaWeb