Uko hapa: NyumbaniNchiPeopleSiasaZitto Ruyagwa Kabwe

Watu Maarufu Tanzania

Siasa

Zitto Ruyagwa Kabwe

Mwanasiasa/Mbunge Mstaafu

ZITTO
Tarehe ya Kuzaliwa:
1976-09-24
Mahali pa Kuzaliwa:
Tanzania

Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe alizaliwa September 24, 1976 katika kijiji cha Mwandiga, wilaya ya Kigoma, Tanzania. Anafahamika zaidi kwa jina la Zitto Kabwe, ni mwanasiasa maarufu kutoka upande wa upinzani. Aliwahi kuwa mwanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, kuanzia mwaka 1992 hadi alipofukuzwa March 2015.

Amekuwa pia Mbunge wa jimbo la Kigoma Kaskazini kwa vipindi viwili mwaka 2005 hadi 2015. Alikuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Public Accounts Committee (PAC), mnamo March 19, 2015, aliungana na chama cha Alliance for Change and Transparency ACT ambapo ni kiongozi mkuu wa chama.

Wikipedia